Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,054
Natafuta nyimbo za Nuruely_(1) Mimi narudi nyumbani (2) Wewe nifuate Maaa.
Nahisi kwenye majini siko sahihi sana ila ndani ya nyimbo hizo mbili mashairi ya namna nilivyoandika hapo juu.
Msaada tafadhali kwani nimekuwa nikizitafuta kwa muda mrefu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapa kakaMimi natafuta sana kibao cha Elimu ya Mjinga toka kwa Banza Stone.
Mkuu hizi nyimbo tatu nimezitafuta saana:Huu hapa. Enjoy
Mkuu hizi nyimbo tatu nimezitafuta saana:
1. Lady Luu - Mahabuba, inaimba mimi nakula nawewe sahani, aah, wangu mahabuba
2. Sikumbuki inaitwaje, ila inaimba hivi "chokocko mtazame huyu Sister, yaani kidume mzima nivunje amri ya sita, aaahh hapanaa, aaah hapanaaa"
3. Wameshirikishwa Unique Sisters "ungeanza na ukweli tu, kuwa wewe huna kitu tu"
Upo page namba ngapi mkuu?
Aisee sikumbuki ila nipo nao nashindwa namna ya kuuweka hapa labda shauri nikupatie kwa namna ipi itakuwa rahisiUpo page namba ngapi mkuu?
Mkuu hiyo nyimbo ya Lady Luh anaimba "wangu mahabuba, mimi nakula na wewe sahani" ninaihitaji sana, kama unayo fanya msaada tafadhaliongezea na Atadata ya Lady Luh
Natafuta ule wanaimba
Hebu nenda ukurasa Wa 9672Natafuta ule wanaimba
Ale krimass tulale wap ooh, nakolala wapi ...
Kama unao naomba mkuu
Huu hapa. Enjoy
POwa Mama Debora . Sina uhakika kama umewahi kuwekwa, ila ungetaja alieimba tungekuwekea. KaribuMambo Idimi
Hivi wimbo wa 'Baba kaleta panya' ushagawekwa humu? Page gani nikaucheki, nisaidie mpenzi
Huo ukurasa ni wa kwenye simu nadhani. Kwenye web, hii thread ina page 492 tuHebu nenda ukurasa Wa 9672
Time will Tell!
Kwangu mie nyimbo za Lady Lu sina, ingawa ni mmojawapo wa akina dada ninaowapeda sana kwenye muziki. Nadhani ni dada wa kwanza kama sio wa pili kuimba rap hapa Tanzania, kabla ya akina Sister P, Da Joh wa Kigamboni na Zay BMkuu hiyo nyimbo ya Lady Luh anaimba "wangu mahabuba, mimi nakula na wewe sahani" ninaihitaji sana, kama unayo fanya msaada tafadhali
POwa Mama Debora . Sina uhakika kama umewahi kuwekwa, ila ungetaja alieimba tungekuwekea. Karibu
Niemeenda ila naona ile youtube link haifunguki mkuu,Hebu nenda ukurasa Wa 9672
Time will Tell!
Naona kwangu hii link haifunguki mkuu. Kama kuna namna nyingine naomba nisaidie
Bahati mbaya sana sina kwenye library yangu ndgKaka unaniangusha.
Baba kaleta panya wameimba Olduvai Band.
Baba kaleta panyaaa
Baba kaleta panyaaa
We usiseme panya sema mbuzi wa porini.
Usiwasikilize hao mama...
Kwani hao ni ndumilakuwili.