Nautaka wimbo wa qaswida "utakwenda peke yako kaburini ukakae'

Utakwenda peke yakooo Kaburini ukakaeee...
Uende ukalale chini ya kaburi kuhaiii..
Aaah kwaheri mwanangu leo burianiii..

Ndio wanaimba hivo?
 
habari wana jf.
kuna mwimbo nimeusikia sehem nautafuta laki siupati ila nakumbuka muimbaji anavo anza kuiimba ni wa kike sauti inataka kufanana na rachel wa kizunguzungu ivi. unaana za ivi "akasema kwa sauti mkewangu dekaaa dekaaa aaahhh " 😆😆 icho kipand ndo nakumbuka naomba msaada apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…