Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Dah aise nipeni ngoma ya wale jama walio imba eti kaacha mume ndani kafuata mdindiko ...si unaona mtu ukipenda kitu utakurupuka ata kama ulikuwa upo unakunya ..benjamin alikuwa tu mtu wa apo kijijini alipenda mademu we utazani ye ni yasini
 
Yule ni Benjamin wa Mambo Jambo, wimbo unaitwa Hip Hop Mdundiko. Ngoja nikutafutie
 
Dah aise nipeni ngoma ya wale jama walio imba eti kaacha mume ndani kafuata mdindiko ...si unaona mtu ukipenda kitu utakurupuka ata kama ulikuwa upo unakunya ..benjamin alikuwa tu mtu wa apo kijijini alipenda mademu we utazani ye ni yasini
Wimbo huu hapa. Waimbaji ni Mambo Jambo, akiwemo Benjamin
 
Attachments

Wakubwa zangu mi naomba wimbo sijajua aliyeuimba ulikuwaga unapiga sana TVT enzi zile 2005/6 jamaa alikuwa anajiita doctor alikuwaga na katoto hivi kwenye kiitikio baadhi ya mashairi yake ni
KAMA UKO POA NJOO UDANCE NAMI
KAMA UKO FRESH NJOO UPATI NAMI KAMA KINYWAJI KIMEISHA MUITE WEITAA NA GHARAMA CHA KINYWAJI NIITE MI
NI BURUDANI KAZI IPO KWAKO WE MUITE NANI.
Hiyo video walikuwa pembezoni mwa bahari yaani ufukweni nitafurahi sana kwa atakayenisaidia.
 
Pia naomba wimbo wa wana TAM TAM umeimbwa hivi JJ ZAWADI YA WATANZANIA TUFURAHI WAZAZI WA TANZANIA mwenye nao aukonge moyo wangu.
 
Bado narudi tena mwenye wimbo wa JAFFARAE FT MAD ICE
BAADHI YA MASHAIRI YAPO HIVI
I LOVE THE WAY I LOVE THE SMILE SINGER SINGER GIRL X2 sijui kama nimepatia ila kwa anayeujua msaada pls.
 
Wimbo niutafutao, nashauri yake yapo kama ifuatavyo.

Ondoa mawazo yako,nimekwisha kusamehe
Sasa nakuomba Joyce usifanye tena.
Uliyoyafanya mwanzo, kweli ni mabaya.
Sasa nakukanya Joyce, usifanye tena.

sent from Samsung Galaxy A30
Msaada wakuu.
 
Back
Top Bottom