Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Huu hapa. EnjoyNaomba alie na wimbo wa Maya alio imba mafumu bilali bombega....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu hapa. EnjoyNaomba alie na wimbo wa Maya alio imba mafumu bilali bombega....
Huu hapa. EnjoyNaombeni original version ya "nataka niwe nawe" umeimbwa na Banana Zoro na band yake, sio ule wa live u tube.
Nataka niwe nawe mpenzi wangu kila siku....nataka nikuone mpenzi wangu kila siku..lakini tatizo huonekani....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hapa. Enjoy. Unaitwa Prison
Upi?Wakuu nimeutafuta huu wimbo bila mafanikio, mwenye nao naomba auweke hapa
Natanguliza shukrani.
Can't believe My brother from Another Mother.....Ngoja niweke na Ugoko colonial.Nimeuweka kwenye post #9897 page 495 hapo juu. Bado wa moto moto
Dah aise nipeni ngoma ya wale jama walio imba eti kaacha mume ndani kafuata mdindiko ...si unaona mtu ukipenda kitu utakurupuka ata kama ulikuwa upo unakunya ..benjamin alikuwa tu mtu wa apo kijijini alipenda mademu we utazani ye ni yasini
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] karibu mkuu. Zote hizo zimewekwa humuCan't believe My brother from Another Mother.....Ngoja niweke na Ugoko colonial.
Mkuu....Heshima Kwako!!!
Hip hopmdundiko ulinisumbua sana sana kuupata...mpaka nilikuwa nimenyoosha mikono Juu.
Unanikumbusha mbali sana nikiwa shule ya Msingi...2001/2002.
Mzee alinunua "Album's mixture" ambayo ilibeba.
1.Kamanda-Daznundaz.
2.Tutakukumbuka-Gk ft TID
3.Hip hop Mdundiko.
4.Nyambizi-Dully Sykes.
Na zingine nyingi,Huku ikiisha SIDE A Tunageuza SIDE B.
Shukran sana Mkuu.
Huu hapa. Hangaika nao, EnjoyNaomba wimbo wa mr blue wa blue blue
ShukrannHuu hapa. Hangaika nao, Enjoy
Pamoja sana manShukrann
Hau play mzee,Huu hapa. Enjoy
Hizo ngoma hatar tupubaadhi hizi hapa. Enjoy