Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Naombeni original version ya "nataka niwe nawe" umeimbwa na Banana Zoro na band yake, sio ule wa live u tube.
Nataka niwe nawe mpenzi wangu kila siku....nataka nikuone mpenzi wangu kila siku..lakini tatizo huonekani....

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hapa. Enjoy
 
Attachments

Wakuu nimeutafuta huu wimbo bila mafanikio, mwenye nao naomba auweke hapa
Natanguliza shukrani.
 
Nimeuweka kwenye post #9897 page 495 hapo juu. Bado wa moto moto
Can't believe My brother from Another Mother.....Ngoja niweke na Ugoko colonial.

Mkuu....Heshima Kwako!!!

Hip hopmdundiko ulinisumbua sana sana kuupata...mpaka nilikuwa nimenyoosha mikono Juu.

Unanikumbusha mbali sana nikiwa shule ya Msingi...2001/2002.

Mzee alinunua "Album's mixture" ambayo ilibeba.
1.Kamanda-Daznundaz.
2.Tutakukumbuka-Gk ft TID
3.Hip hop Mdundiko.
4.Nyambizi-Dully Sykes.

Na zingine nyingi,Huku ikiisha SIDE A Tunageuza SIDE B.

Shukran sana Mkuu.
 
Tayariii.....Mtalaamu Idimi kashashusha dude..
Dah aise nipeni ngoma ya wale jama walio imba eti kaacha mume ndani kafuata mdindiko ...si unaona mtu ukipenda kitu utakurupuka ata kama ulikuwa upo unakunya ..benjamin alikuwa tu mtu wa apo kijijini alipenda mademu we utazani ye ni yasini
 
Can't believe My brother from Another Mother.....Ngoja niweke na Ugoko colonial.

Mkuu....Heshima Kwako!!!

Hip hopmdundiko ulinisumbua sana sana kuupata...mpaka nilikuwa nimenyoosha mikono Juu.

Unanikumbusha mbali sana nikiwa shule ya Msingi...2001/2002.

Mzee alinunua "Album's mixture" ambayo ilibeba.
1.Kamanda-Daznundaz.
2.Tutakukumbuka-Gk ft TID
3.Hip hop Mdundiko.
4.Nyambizi-Dully Sykes.

Na zingine nyingi,Huku ikiisha SIDE A Tunageuza SIDE B.

Shukran sana Mkuu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] karibu mkuu. Zote hizo zimewekwa humu
 
Wimbo wa young killer, nakumbuka kiitikio kina matamshi haya " Ebodiyesyeee" nimejarb kugoogle wala, so anaeujua anaeza nipa kina nika-usearch
 
Mwenye wimbo wa Maya alio imba marehemu mafumi bilali kipindi kile ulikuwa ukipigwa sana kwenye chaneli ya ITV two (ITV2)
 
Back
Top Bottom