Wakuu naomba wimbo wa ney Lee umekwenda
Na wimbo mwingine wakiyambo hivi kaimba mwana dada baadhi mashairi
Nina matumaini siku moja utakuwa wangu
 
Nautafuta wimbo wa jamaa flan nadhan kutoka mwanza unaitwa MOYO
Ulikuwa unaimbwa kama hivi.

Mawazo ya nini moyoo iiiiih moyo,
unanikondesha bure iiih moyo
Basi vumilia moyoo iiih moyo
Utakuja niua buree iiih moyo.
 
Kuna wimbo baadhi ya mashairi yake yanasema

Ninaye best wangu,mtuliza nafsi yangu,mpeeeenzi.....
Njoo unipe Raha za Dunia..Mimi Sina pa kukimbilia........

Shukrani 🙏🙏
 
Hebu usikilize huu kwanza. Enjoy
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…