Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Huu hapa. EnjoyKiongozi usisahau karata dume ya Afande sele...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu hapa. EnjoyKiongozi usisahau karata dume ya Afande sele...
Shukuran sna kiongoziHuu hapa. Enjoy
Jaribu huu. Kama ni wenyewe gonga like moja kubwa sana na REPLYKuna wimbo baadhi ya mashairi yake yanasema
Ninaye best wangu,mtuliza nafsi yangu,mpeeeenzi.....
Njoo unipe Raha za Dunia..Mimi Sina pa kukimbilia........
Shukrani 🙏🙏
Kuna nyuzi zake kule kwenye jukwaa special la dini. Hujauona ndg? Kila jukwaa lina wanachama wakeMngekuwa mnatafuta maandiko ya MUNGU kama mnavyotafuta hizi nyimbo Mngekuwa mbali kiimani[emoji125][emoji125][emoji125]
Naona nnashindwa kuu-download hapa. Nmeku-pm mkuu.Huu hapa man. Enjoy
Mkuu, kama unao pia wimbo uliimbwa na hawa TOT Plus wakiwemo Abuu Misambano, Badi Bakule na Paulin Zongo. Wimbo ulikua unaimbwa hiviTwende kazi. Enjoy
Pia kama una wimbo wa Mapacha watatu ile ya mwanzo kabisa. Ulikua unaimbwa hiviTwende kazi. Enjoy
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mngekuwa mnatafuta maandiko ya MUNGU kama mnavyotafuta hizi nyimbo Mngekuwa mbali kiimani[emoji125][emoji125][emoji125]
Naona nnashindwa kuu-download hapa. Nmeku-pm mkuu.
Asante sana mkuuTwende kazi. Enjoy