Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
🤣 🤣 🤣 👆 👆Unashabikia simba nini!? Mana wao ndio wana tabu sana mwaka huu kwa kukutana na Yanga ha ha ha ha. N ways nadhani wadau watafanya mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 👆 👆Unashabikia simba nini!? Mana wao ndio wana tabu sana mwaka huu kwa kukutana na Yanga ha ha ha ha. N ways nadhani wadau watafanya mambo
Upo page namba 500 hapo juu. Angalia post #9999 nimeuwekaNatafuta MWAKA WA TABU - Ally Choki[emoji2369]
Unapatikana... humu humu jaribu kuusaka tenaR Tony fy vumilia unaitwa Lisa mwenyenao nnaomba
Waliutupia?Unapatikana... humu humu jaribu kuusaka tena
aliyekuwa akiitafuta Pete yake!Hahahaa anaitwa Juma Bhalo, alishafariki ni mmoja wa wasanii wakubwa wa kenya
Mkuubhi nyimbo nahisi hakuna aliyonayo nmeisaka sanaUnapatikana... humu humu jaribu kuusaka tena
Mwanangu wewe wa Moro mwenzangu, hao walikuwa na ngoma nyingine inaitwa 'Pokea ua' ukibahatika kuzipata usinitupe. Ukiipata na 'Mama' ya Master BrosMkuu Kioo.. Kuna Kikundi kimoja Cha Muziki Kilikuwaga Moro town "PeaPea Entertiment" Walikuwa Na Ngoma Moja Inaitwa Helena Aliimba Jamaa Mmoja Anaitwa Luanda... Naomba Nisaidie Kama Unao na Kama utakuwa Nazo za Hawa Jamaa Pia Zinginezo
Kuna wimbo wa Sister P unaanza na "Hey Hey Dj fanya mavitu watu wawe crazy piga bongo fleva nasi tuje......" niliusaka siku bahati mbaya Youtube waliufuta kutokana na Copyright issue! Mwenye nao anisaidie....na kuna mdau kaomba audio ya ishi stars usione soo hii ninayo shida inagoma kuupload nitajaribu kwa laptop nione kama itakubali...
Chundabad by sterio singa singa
Some Money - Jay Moe
Beat kali sana ya P-Funk Bongo Records, hii ngoma ina mashairi hatari sana
Kisa cha kweli hicho, Mpemba kakimbia genge lakeNatafuta wimbo wa kisa cha mpemba uliimbwa Na twanga pepeta
Ukiupata nami nauomba chiefNahisi Marijani Rajabu ameimba huu wimbo, sina uhakika na jina japo kiitikio ni ' njoo mnichukue haraka'
Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app