Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Unashabikia simba nini!? Mana wao ndio wana tabu sana mwaka huu kwa kukutana na Yanga ha ha ha ha. N ways nadhani wadau watafanya mambo
🤣 🤣 🤣 👆 👆
 
Mkuu Kioo.. Kuna Kikundi kimoja Cha Muziki Kilikuwaga Moro town "PeaPea Entertiment" Walikuwa Na Ngoma Moja Inaitwa Helena Aliimba Jamaa Mmoja Anaitwa Luanda... Naomba Nisaidie Kama Unao na Kama utakuwa Nazo za Hawa Jamaa Pia Zinginezo
 
Mwanangu wewe wa Moro mwenzangu, hao walikuwa na ngoma nyingine inaitwa 'Pokea ua' ukibahatika kuzipata usinitupe. Ukiipata na 'Mama' ya Master Bros
 
Kuna wimbo wa Sister P unaanza na "Hey Hey Dj fanya mavitu watu wawe crazy piga bongo fleva nasi tuje......" niliusaka siku bahati mbaya Youtube waliufuta kutokana na Copyright issue! Mwenye nao anisaidie....na kuna mdau kaomba audio ya ishi stars usione soo hii ninayo shida inagoma kuupload nitajaribu kwa laptop nione kama itakubali...
 
Attachments

Kwa mdau aliyekua akihitaji wimbo wa ishi stars usione soo wa audio nimefanikiwa kuupost juu hapo
 
Some Money - Jay Moe
Beat kali sana ya P-Funk Bongo Records, hii ngoma ina mashairi hatari sana
 
Back
Top Bottom