Mkuu Kioo.. Kuna Kikundi kimoja Cha Muziki Kilikuwaga Moro town "PeaPea Entertiment" Walikuwa Na Ngoma Moja Inaitwa Helena Aliimba Jamaa Mmoja Anaitwa Luanda... Naomba Nisaidie Kama Unao na Kama utakuwa Nazo za Hawa Jamaa Pia Zinginezo
 
Natafuta wimbo unaosikika kwenye eneo la kiitikio kama "ewe dada sakina una nini wewe" ni zilipendwa nadhani
 
Mkuu Kioo.. Kuna Kikundi kimoja Cha Muziki Kilikuwaga Moro town "PeaPea Entertiment" Walikuwa Na Ngoma Moja Inaitwa Helena Aliimba Jamaa Mmoja Anaitwa Luanda... Naomba Nisaidie Kama Unao na Kama utakuwa Nazo za Hawa Jamaa Pia Zinginezo
Nyimbo zao sina
 
Nna shida na wimbo wa nash mc baada ya chuo na wimbo wa nikki mbishi alhamdullilah na chill out
Hizo mbili za mwisho zolishawekwa hapo juu, ukiingia kwenye search utaziona. Ya Nash MC nadhani wadai wataziweka
 
mkuu umewezaje ku download kwenye hiyo site ya eastafricantube.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…