TEZIJIKE 2
Senior Member
- Nov 18, 2019
- 171
- 962
Natumia IDM mkuumkuu umewezaje ku download kwenye hiyo site ya eastafricantube.com
Videoder inapakuamkuu umewezaje ku download kwenye hiyo site ya eastafricantube.com
mbona nikiziplay idm yangu hai detect we unatumia version gani bro??Natumia IDM mkuu
Ninalinga mm nchi yangu tanzania yenye sifa zote za kujivunia ninaringia rangi yangu nyeupe kilimanjaro ..........Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Hard mad nilikupenda sana we mfano wa mauaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Version nayotumia ni build ya 6.35 ! Kuhusu kutokuwa detected jaribu kuenable extension ya IDM kwenye browser unayotumia! Mimi natumia chromembona nikiziplay idm yangu hai detect we unatumia version gani bro??
eleza hapo kidogoVersion nayotumia ni build ya 6.35 ! Kuhusu kutokuwa detected jaribu kuenable extension ya IDM kwenye browser unayotumia! Mimi natumia chrome
IDM integration into Chrome does not work. What should I do?eleza hapo kidogo
[emoji122] [emoji122]IDM integration into Chrome does not work. What should I do?
Kuna maelezo na picha hapo mkuu jinsi ya kutatua kila la kheri!
UBARIKIWE SANA MKUU[emoji120]Huu hapa man. Enjoy
UBARIKIWE SANA MKUU[emoji120]
nakutumiaje bossNatafuta wimbo wa king zillah - my life
Darassa - weka ngoma
Kakolele ni wa krismass
Much thanks mkuu, nilishazipata tayari, sema nina shida na video ya wimbo wa Julie wa inAfrica band ya Bob ludala. Nimeisaka sana mtandaoni nimeikosa msaada kama unaweza kua nayo au kama kuna mtu yoyote atakua nayo.nakutumiaje boss
Naomba Ngoma Za Mike T Mnyalu AseeHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.