ha ha ha!unamaanisha "Lil Wayne"?
Sweet Fanta Diallo ni wimbo wa Alpha Blondy wa Ivory Coastwakuu mimi kuna nyimbo natafuta ila naijua kiitikio tu kinasema hivi-
fii fii fantatialo uu fantantialo fii fantatialo
nahisi kaimba mwanamke ile nyimbo
Nikipata wimbo wa waswahili unaitwa kila mtu na stareh yake, ntafurah sana
Haya hizi hapa. Twende kaziZion mkushi , idimi, Mtu mpole
Naomba Nyimbo za unique sisters tafadhari na ngoma moja wako na dudu baya inaitwa sikutaka kugombana nawe
Haya, hizi hapa. Twende kaziNaomba hizi nyimbo wakuu..
Mad ice ni wewe
Na pia mad ice ready for dis.
Ziko nyingi sana ndg. Labda uchagueMwanangu Naomba Nisaidie Ngoma Za Mike Tee Mnyalu Ulizo Nazo...
Mkuu ya kwanza sio mad ice huyo ni msanii wa Kenya ya pili ndo yenyewe.Haya, hizi hapa. Twende kazi
Angalia hapa..Haya, hizi hapa. Twende kazi
Huu hapa, ejonyWimbo wa my everything wa ali kiba nikiupata itapendeza sana. Nahitaji msaada wenu wadau.
Huu hapa man. EnjoyNaombeni wimbo wa MVIKO SOUND-umasikini
Huu hapa. EnjoyJos mtambo ft babuu wa kitaa, Ngwea,Mchomvu,Fid Q - Bata boy
Huu hapa man, enjoynaombeni nyimbo ya TMK MAJITA - TWENDE[emoji41]
, rsHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Huu hapa man, enjoy