rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Blad Key-HelloNa tafuta wimbo
WA hello
Jamaa nime msaau Jina ila anaimba
Hellooo, ukiwa mbali una nitesa Hellooo
Hofu na mawazo nime jaza heloo..
Kwenye video alivaa vomiwan Fran anataka kufanan
Nime msaau Jina uyu jamaa
Kaka kuna jamaa anaitwa Zedge aliimbaga ngoma inatwa saa zingine kama una clean audio file naomba nisaidie...ile ngoma iko so soothing ila youtube kuna file chafu namie kusikiliza file bovu siinjoy!Huu hapa
duuh!! hii ngumu kumezaMi staki wimbo naulizia kuna mtangazaji alikuwa TV moja ya burdan mara nyingi alisikika akisema "Oooi oooi oioioi Kalinye Kalinye..." hivi yukoapi bwana yule. Jamaa nilikuwa simwelewi kabisa kwa kauli zake hizi japo leo nmejikuta nimemkumbuka tu
SaigonMi staki wimbo naulizia kuna mtangazaji alikuwa TV moja ya burdan mara nyingi alisikika akisema "Oooi oooi oioioi Kalinye Kalinye..." hivi yukoapi bwana yule. Jamaa nilikuwa simwelewi kabisa kwa kauli zake hizi japo leo nmejikuta nimemkumbuka tu
Naomba nyimbo ya Maya by lutumba...nataka ya kiswahili...sikumbuki iliimbwa na nan
Swadakta ni huyohuyo.Saigon
kawa mtu wa dini sana sasa hivi. Yupo redio ImaniSwadakta ni huyohuyo.
Norichiko_NimemfukuzaHabari za mida hii Wakuu[emoji120]
Nipo nautafuta huu wimbo ila sijajua ni chanzo gani nitaupatia wala Msanii Mwenyewe alieimba simjui ila nimekariri baadhi ya Maneno ya kwenye huo wimbo, anasema hivi.
"Nimemfukuza Wangu Moyo eti kwa sababu ya binti, Moyo wangu unauma mama nafsi yangu inajuuta Usiku huu binti amekuja na barua mkononi kutoka kwa Wazazi"
Ntashukuru sana kama kuna Mwana Jf ameshaujua ni Nyimbo gani au ni Msanii gani?
Yatima hadekezwi - key man ft squeezerHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Asante kwa kuomba huu wimbo na mimi nimeupata. Nina memory sana na huu wimbo dah, muda unaenda kasi sana aisee zaidi ya miaka 15Wakuu mwenye wimbo k man ft squeezer yatima hadekezwi autupie apa nimeutafuta miaka mingi Sanaa..wakuu naomba mwenye huu wimbo autupie hapa..