Naomba wimbo wa mkubwa na wanawe unaitwa innoh
Na wimbo wa kijita unaitwa ndolela
 
Naomba original version ya wimbo wa Hamza Kalala unaitwa Magufuli juu.

Orijino yake ya miaka ya 2000 wanaimba...

Huyo hamza kalala,
Wamemchokoza wenyewe,
Sasa waiona....,
Wafunga milango,....
 

Wimbo unaitwa nimemfukuza umeimbwa na msanii Norichiko!!
 
Kuna wimbo flan wa gospel umeimbwaa na mkenya beat yake inaanza kama na kengele hivi na baadh ya msneno nnayoyakumbuka ni. "wakristo tukaze mwendo shina na njaa vitakwisha" sijui kama nimepatia sana hayo maneno ila mashairi yake yalihusu sana mateso walokua wakipata watumish wa Mungu
 
Kuna mix tape cjui ni albam walotoa tmk family enz zle za mikanda ya tofali kuna wimbo ulikua unaitwa rahabu aliyenao tafadhali
 
Kuna mmoja flani hivi wa zaman miaka ya 2000 ni wa dini,sijui mwimbaji ni wa kenya au tz, unaimbwa "bwana usiniadhibu kwa gadhabu yako,bwana usinihukumu kwa hasira yako,maana mishale yako imenichoma,oh oh aha eah usijitenge nami"

Na ule wa farida ft fid q -honey
 
Wakuu naombeni mnipatie wimbo wa kina Ali Choki wa Extra Bongo Wana Bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…