makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hapana, hatuwezi kufika huko, kwa jinsi wazazi wetu walivyoishi...Hahahaha mkigombana wanaingizwa hadi wazazi wenu. Wazazi nao wanaingilia ugomvi wa watoto wao, mtoto wa shangazi mbaya mara mtoto wa mjomba ndio mbaya. Kila mmoja anamuona wa mwenzie ndie mbaya
Anaitwa SAIGON. Kawa ustaadhi swala tano ni presenter wa radio imaan anatangaza sijui kipindi gani.......Mi staki wimbo naulizia kuna mtangazaji alikuwa TV moja ya burdan mara nyingi alisikika akisema "Oooi oooi oioioi Kalinye Kalinye..." hivi yukoapi bwana yule. Jamaa nilikuwa simwelewi kabisa kwa kauli zake hizi japo leo nmejikuta nimemkumbuka tu
.Kuna huu wimbo wa kundi linaitwa "Thugcity".... Unaitwa "Proposition", ni ngoma kali sana ya R&B ilitolewa miaka ya 2006. Naitafuta sana.... Youtube haipo na hakuna sehemu online nimeiona....
So kama unayo nitashukuru sana....... Natuma sample yake kuna mwana anaisikiliza kwenye gari... View attachment 1633422
Sijaelewa umentumia nini inakataa kufunguka
Very nice song.Nadhani umeimbwa na Beka unaitwa Upendo.Kuna kipindi niliudownload googleKuna wimbo aliimba malaw kama sikosei sijui nao unaitwaje ila kwenye verse anasema usisache nikala nikusema chakula kinasumu nikajiona mwenye furaha juu ya upendo wako wako
Huu wimbo upo humuhumuAtakae ntafulia Lissa wa r Tony ft vumilia namlipa
Wakuu naomba mwenye wimbo wa Kifo wa TID au ule Funguo wa SNARE yule wa East Coast.
Chukua bure sihiitaji unilipeHuu wimbo upo humuhumu
Ninao huu wimbo,ila nashindwa kuuweka hpa. Njoo pmWimbo wa linah kama sijakosea ila si jui unaitwaje ila kwenye verse moja anasema kunavyakula vingi kama makande nishakula nawe nifanye mi nishibe iya iya iya eeeeeh
Kuna dogo mmoja nimemsahau jina ila alifanya live your life ya Ti kwa swahili vision nimeusaka sana huo wimbo ila mpaka sasa ni bila bila,, mwenye nao au details naomba msaada
Natanguliza shukrani.