Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hahahaha mkigombana wanaingizwa hadi wazazi wenu. Wazazi nao wanaingilia ugomvi wa watoto wao, mtoto wa shangazi mbaya mara mtoto wa mjomba ndio mbaya. Kila mmoja anamuona wa mwenzie ndie mbaya
Hapana, hatuwezi kufika huko, kwa jinsi wazazi wetu walivyoishi...
 
Mi staki wimbo naulizia kuna mtangazaji alikuwa TV moja ya burdan mara nyingi alisikika akisema "Oooi oooi oioioi Kalinye Kalinye..." hivi yukoapi bwana yule. Jamaa nilikuwa simwelewi kabisa kwa kauli zake hizi japo leo nmejikuta nimemkumbuka tu
Anaitwa SAIGON. Kawa ustaadhi swala tano ni presenter wa radio imaan anatangaza sijui kipindi gani.......
 
Wimbo wa linah kama sijakosea ila si jui unaitwaje ila kwenye verse moja anasema kunavyakula vingi kama makande nishakula nawe nifanye mi nishibe iya iya iya eeeeeh
 
Kuna wimbo aliimba malaw kama sikosei sijui nao unaitwaje ila kwenye verse anasema usisache nikala nikusema chakula kinasumu nikajiona mwenye furaha juu ya upendo wako wako
 
Kuna huu wimbo wa kundi linaitwa "Thugcity".... Unaitwa "Proposition", ni ngoma kali sana ya R&B ilitolewa miaka ya 2006. Naitafuta sana.... Youtube haipo na hakuna sehemu online nimeiona....

So kama unayo nitashukuru sana....... Natuma sample yake kuna mwana anaisikiliza kwenye gari... View attachment 1633422
.
 
Huu wimbo nautafuta sana. Nimeweka kipande kidogo ambacho nilikipata youtube. Mwenye bao full aniwekee
 
Kuna wimbo nautafuta sana, upo kama hivi....
"sijali
(hata kama ukinuna)
sijali
(uwe mkali kama duma)
sijali
(Kama kupenda kosa mi nihukumiwe)
Sijali....."

Kaimba nani au audio napataje?
 
Wimbo wa linah kama sijakosea ila si jui unaitwaje ila kwenye verse moja anasema kunavyakula vingi kama makande nishakula nawe nifanye mi nishibe iya iya iya eeeeeh
Ninao huu wimbo,ila nashindwa kuuweka hpa. Njoo pm
 
Kuna dogo mmoja nimemsahau jina ila alifanya live your life ya Ti kwa swahili version nimeusaka sana huo wimbo ila mpaka sasa ni bila bila,, mwenye nao au details naomba msaada

Natanguliza shukrani.
 
Kuna nyimbo moja ya Ray C kaimba na mkaka simjui jina hata, siyo nyimbo ya siku nyingi sana, idea ipo kama huyo bro anamuelewa Ray C ila Ray C anamchukulia poa, kuna mahala anamuambia 'wewe ni mkangafu', na kitu kama 'pesa anayoiona kwake kubwa, kwa bidada hiyo pesa ina thamani ya cheni ya kiuno' - I don't remember the lyrics well I admit..!

Niliwahi iskia radioni, jamani nimetafuta this song mpaka nimeinua mikono, maana siijui hata jina, any idea please..!
 
Back
Top Bottom