paco anthony
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 516
- 831
Pia kama unaile clip ya kanumba akimsifia baturi nimeitafuta cjaipata na kuna clip moja hivi ya brother k wa futuhi wakitukanana na dada moja hivi. Na maongezi yao yalikuwa kwenye simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wimbo naona watu hawanao, nami nautafuta sanaNaomba original version ya wimbo wa Hamza Kalala unaitwa Magufuli juu.
Orijino yake ya miaka ya 2000 wanaimba...
Huyo hamza kalala,
Wamemchokoza wenyewe,
Sasa waiona....,
Wafunga milango,....
Inaitwa wherever yo go-jay zWadau Kuna nyimbo ya Jay z inaitwa moma love me rmx inakiitikio kama anaimba mtto hv ukiitafuta You tube haipo utapat yenyew Haina kiitikio naiomben .
Afu 255 ya quick roka na Belle 9
Big shaq, mans no hotKuna jamaa anaimba kluuuuuuuu pumpumpumpuu sikia kenkenkenke
ningekuwa na mabawa,MV bukoba,Wakati mgumu zoote za Justine kalikawee
piaa Duniani kuna mambo ya Dekula kahanga vumbii
mwenye hizoo ngoma wadauuu
Ubarikiwe mkuu[emoji120][emoji120]Hiyo nyimbo ameimba Jamaa wa kuitwa Norichiko ngoma inaitwa nimemfukuza!! Ipo mtandaoni unaweza idownload..
Natafuta wimbo/mziki aina sweet reggae unaitwa dreams are just for dreamers