Unaitwa MwamvuliAhsante sana mkuu,jina la wimbo?
Huu nduguNaomba ule wimbo uliimbwa kama jibu kwa wimbo wa dully sykes - Salome
uma Ryder my lady upon waptrickWakuu msaada wimbo flani hivi wa Bongo Flavour, jina la wimbo na msanii nimesahau lakini chorus inaimbwa hivi ''Mpenzi umenikimbia wakati naumwa usiku wa manane, Ulidhani mi ntakufa ili milele tusionane, sasa yamekukuta unaomba turudiane, sina muda mchafu mimi bora niwe mjane''
Alafu pia nautafuta ''My Lady'' umeimbwa na Suma Ryda, video yako jamaa yuko na mwanamke juu ya bus wanacheza. Chorus yake inaimbwa hivi ''Yo ma lady njoo kwangu mi, njoo ucheze na mi ohhh yo ma lady njoo kwangu mi, njoo ucheze na mi
Nimeandika unaitwa Party umeimbwa na Jose mtambo ft nuruelyWimbo upi mkuu?
Huonatafuta wimbo wa msondo ngoma unaoimbwa hivi [emoji443]ninapotudi nyumbanii, mama watoto kanunaa, kwa sababu ya manenoo, ya majirani jamanii, kuchunguza kwa makinii, ni wale wale binadamuu[emoji443]
pia natafuta nyimbo za maombolezo ya mwalimu nyerere:-
1. tulikuwa nae siku zote za mapambanoo,
mwenzetuu, ndugu yetuu, mwalimu nyereree
2. ndugu watanzaniaa leo yametukutaa...............
ooh walimu nyereree, ooh, ee MUNGU mpokee mtumishi wakoo
Huo....Wekeni nyimbo za maombolezo ya msiba Wa mwalimu nyerere hasa zile za komba wakuu
Download youtube. Ngwair ft Dark Master - WeekendNatafuta nyimbo ndani yumo Ngwair. Wanaimba kuhusu weekend.
......Kama wekend ndio tayari ishafika, watu viwanjani wanamiminika......
Huu ni wimbo gani mkuu. Naona post yake siipati.