Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
naomba hizi nyimbo
Uvc kaka - yuko towan
wandago family - Nataka
K basil - Kanizimia
Top T - Nimekufananisha
 
Natafuta sana wimbo fulani hivi sijui umeibwa na nani ila kuna mstari unaosema kula nanasi kwa itaji nafasi..
 
mwenye nyimbo ya k basil inaitwa kanizimia na ya uvc kaka yuko town bila kusahau ile ya wandago waliomshirikisha G solo ngoma inaitwa nataka mwenye hizo pliiz aziweke
 
Mwenye album ya Diamond sound (ekibinda nkoi) miaka ya 1997 hadi 2000 naziomba sana, hata kuniuzia niuzie tu kama unazo
Nashangaa na maneno yako, umekua kigeugeu, oooh neemaaa.

Nilipopendana na wewe, ulinitamkia mwenyewe, nakupenda japo huna kitu.

Unaponitangaziaa, eti mimi sina kitu,
Nasikitika Neeemaaa.

Chini tumelalaaa,
Njaa tumeshinda oooh oooo.
 
Kuna wimbo huwa unatumika kwenye kipindi cha mchana cha cha radio moja ya kimataifa,kati ya bbc au Deutsch welle...wimbo unaimbwa "aaaeee Africaaa eeeh,Africaaa eee..........
 
Nisaidie jina la huu wimbo! Mahadhi yanaakisi mataifa ya Zimbabwe, Afrika Kusini na Lesotho if not mistaken.
Aisee huu wimbo naukumbuka sana, sema ndo hivyo tena sikumbuki jina la wimbo wala msanii aloimba.

Enzi hizo unapigwa huo wimbo, anafuata Angeliq Kijo then Serif Keita, basi burdan tooosha
 
Pia naomba mwenye wimbo wa:

Kurugenzi Jazz Band - Wivu ukizidi.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Wakuu..

Nahitaji any member mwenye library yenye bongo movies zile za zamani kama vile
1.SHUMILETA
2.MZIMU WA PESA
3.MSYUKA
4.CHITE UKAE
5.BWAWA LA SHETANI
6.NGOME YA MWANAMALUNDI
7.SALADINI and the like aniPM aisee...

Nna zitafuta sanaa
 
Back
Top Bottom