Wakuu mwenye wimbo wa TID - KWA KWELI, please share. Chorus inaimbwa ''kwa kweli nakupenda mpenzi, kwa kweli mwenzio sijiwezi, hivi kweli wewe bado hunielewi nieleze upesi''
 
Nautafuta ule wimbo ambao BEAT yake mara nyingi ilikuaga inapigwa kwenye kipindi cha DIVA loveness love cha ALA ZA ROHO,,,, ile beat au mdundo uliokua unatumika kunogesha kipindi cha diva basi nyimbo yake ndo naitafuta
 
Wakuu..

Nahitaji any member mwenye library yenye bongo movies zile za zamani kama vile
1.SHUMILETA
2.MZIMU WA PESA
3.MSYUKA
4.CHITE UKAE
5.BWAWA LA SHETANI
6.NGOME YA MWANAMALUNDI
7.SALADINI and the like aniPM aisee...

Nna zitafuta sanaa
Nenda k/ koo mkuu utazipata au ingia utube zipo kibao
 
Kuna wimbo huwa unatumika kwenye kipindi cha mchana cha cha radio moja ya kimataifa,kati ya bbc au Deutsch welle...wimbo unaimbwa "aaaeee Africaaa eeeh,Africaaa eee..........
Anaitwa kabago
Wimbo unaitwa Africa
Nimeupandisha unagoma
 
kuna wimbo ulikuwa unapigwa star tv,kwenye kipindi cha nyimbo zetu,ni wa asili flan ya kibrazil,ila jina ndo mtihani
 
Natafuta wimbo wa

BWANA NAOMBA NIFUNGULIE FAHAMU ZANGU ILI NIWEZE HESABU SIKU ZANGU NILILALAPO

sikumbuki kaimba nani.... Naomba mnisaidie
 
Natafuta ule WIMBO ya young killer unaitwa my power.. Sitaki remix nataka ule original kuna mstari unasema "akirudi mwana mpotevu mpya nampoteza"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…