mi naomba nyimbo zifuatazo tafadhali!

1. mmoja wa kitambo na hata sijui umeimbwa na nani. una maudhui fulani ya kukandia wanaojichubua na kukataa rangi yao halisi nyeusi. baadhi ya maneno yake ni kama hivi...

'hata kama nikajifanya mimi ni mchina, baba na mama yangu wote ni waafrikaaaaa. napendezaa bila kupaka madawa; napendeza bila kupaka mafuta'! aisee unanigusa sana huu wimbo.

2. kuna wimbo nao hata sijui kaimba nani na ni wa kitambo, baadhi ya maneno yake ni kama ifuatavyo;

kiongozi: 'kweli maisha ya sasaaa uhuni hauna maana, yatakupata ya kukupata!'
wote wanaitikia: 'uijutie dunia aaaaaa!' kinafuata kinanda/gita hapo, titililiii, titililiiii.....

kiongozi: 'ulinde heshima yakoo uishi na mume wako, wazazi wako ni waungwana....'
wote: 'usiwaleteee aibu uuuuu!' gita/kinanda.......yaani dah! nitashukuru sana mkuu.

3. naomba wimbo wa mbaraka mwishehe siujui jina lakini baadhi ya maneno yake ni kam ifuatavyo;

''utafanya mengiii, utafurahia....lakini kumbuka siku moja utakuja ulie ndugu eee''

4. naomba wimbo fulani unaitwa 'salamu baba na mama' lakini sijui umeimbwa na nani!

'salamu baba na mama...(sijui wanasemaje hapa kati, lakini mwishoni husema, 'mfurahi nyote bila manung'uniko wapenziii')
 
nice song.....jose mtambo kabla hajawa mlevi.....the guy was real talented...
 
mambo bado mapacha, fid q & nuruely ; siku macho nikiyafumba by mwana fa ft jide
 
naomba mwenye collection ya justine kalikawe na senzo....bila kusahau Franco
 
Jaman naomba mnisaidie jina la wasanii walio imba wimbo huu, na jina la wimbo pia ikiwezekana. Ili niweze kuutafuta.

" nikikupa kupa kuupa utalewaa aah, nanikikunyiima dhuruma ×2.
Nishachoka mie, usichokoo ×3 "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…