Wakuu naombeni msaada wenu kuna winbo nimekuwa nikiutafuta sana lakn sijawai kuuoata tatzo sijuwi jina lake ila kionjo chake kuna sehem wanaimba ..bolingo bolingo sakiee mamieeee mami saakii
Utakuwa ni suka chile (sijui kama nimepatia kuandika wa defao)
 
Mimi naitafuta ya Ngwea na Jay Moe inaitwa ''M.A.F.I.A" yaani Machizi Ambao Fani Imelala Asilia.
 
jina la nyimbo silikumbuki ila ina maneno haya" NI MAKOSA NI VIBAYA MNAFANYA WAZAZI NI AIBU NI HUZUNI NI OYOYOYO" ya zamani(zilipendwa) natanguliza shukrani.
Mwanao kakosea yafaa umkanye, wamsusia na kumfukuza nyumbani atakaa wapi.... atalala wapii.......

Iwapo baba mama haumpendi mwanao, sisi wa pembeni tutampenda vipi???
Uchungu wa mwana aujuae mzazi......,[emoji445][emoji441]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…