KWANGU MATEMBEZI
Member
- Jun 19, 2012
- 41
- 47
Asante, ndio wenyeweKm Kiitikio chake kina maneno haya ninakupa moyo wangu uuweke mpenz, usije tupa jalalani usipuuze penz langu usijeliwa na mafunza ukapotea milele huzuni nikiuona moyo wako u jalalani. Basi utakuwa ni wimbo unaitwa moyo kaimba jaydee na papii kocha
Huu ninao, nikitulia nitautuma.Asante, ndio wenyewe
YouTube zipo za kutosha mkuuNisaidieni nyimbo za mchiriku wandugu
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Mbilia bel- mpeve ya longo
Hii yuko na brightYoung killer blessings kuna vimaneno kaimba pale xjui alikopi maan nimewahi kumskia rapa mmoja nahis ngwea anaimba hyo verse, shda yang ni huo wimbo nna shda nao
Vimaneno ni hiv
"Macho zigi zigi za niga na wizi wizi
Babay uko na me yani ni ku jigi jigi"
Msaada kwa mweny kuujua huu wimbo
Huyu mwanadada anasauti moja hatari Sana!!!!!