Kuna nyimbo naitafuta sana ya Bongo flavour ya kitambo. Hio nyimbo kaimba mdada mwanaume sijui ni steve rnb na kamshirikisha mdada.
Una kiitikio hivi '' mbona wanifananisha naee nami siko kama yeye''
' ' usinihukumu, umeni hukumu' '.....
Msaada wanandugu @

Ahsante mkuuStive wa rnb ft maunda zoro
Usinihukumu. Itafute ipo mtandaoni
Big Dogg Pose (BDP) - MajoblessWakuu mimi kuna nyimbo mbili nazitafuta ila majina ya nyimbo na walioimba siwafaham ni kitambo. Viitikio: Tunakandia sana sometimes tunacheza madeal hatari sana "Majobless jobless. Tunawaza sana mpaka mabichwa yanaongezeka upanaa majobless.
Usinihukuku ft Steve RnbKuna nyimbo naitafuta sana ya Bongo flavour ya kitambo. Hio nyimbo kaimba mdada mwanaume sijui ni steve rnb na kamshirikisha mdada.
Una kiitikio hivi '' mbona wanifananisha naee nami siko kama yeye''
' ' usinihukumu, umeni hukumu' '.....
Msaada wanandugu @
Kaimba steve na marehemu maunda zoroKuna nyimbo naitafuta sana ya Bongo flavour ya kitambo. Hio nyimbo kaimba mdada mwanaume sijui ni steve rnb na kamshirikisha mdada.
Una kiitikio hivi '' mbona wanifananisha naee nami siko kama yeye''
' ' usinihukumu, umeni hukumu' '.....
Msaada wanandugu @
Huyo ni Hayati Profesa Juma Bhalo alikuwa ni mtaalam wa muziki wa taarab toka KenyaHuyo baba hapo ndio ww chief au ni Dj anatusaidia kutuwekea hizo nyimbo hapa?[emoji1][emoji1]
Msaada nautafuta sana hata jina la hiyo kwaya kama unayo nsaidiewanakijiji mlie mlie, wanakijiji mlie mume wangu ni tajiri.
Wimbo wa miaka mingi iliyopita ni kwaya
Ulyankulu japo sina uhakika mia kwa miaMsaada nautafuta sana hata jina la hiyo kwaya kama unayo nsaidie
Upo. Nadhani kwenye hii thread upo.Nimejaribu kuutafuta wimbo wa Mike akimshirikisha Ferouz uitwao Wananiita Mnyalu lakini sijaupata,naomba mwenye wimbo huo autupie humu jukwaani.Niliomba mara ya kwanza watu wakauweka Sintobadilika ambao kamshirirkisha Q-Chief