Zimo kwenye ili jukwaa ama kama hazipo basi kwenye YouTube zipo.Jamani Mimi natafuta wimbo Sina uhakika na mwimbaji sijui ni Belesa Kakele (zilipendwa) unasema watoto wamekuja juu wanadai Mali yao......wameshasahau wosia wa baba yao....
Lakini mwenye Mwanameka ya Marijani atupie
Jaribu YouTube utapata baadhi ya nyimbo.Natafuta sana nyimbo hizi bila mafanikio.Mpangilio wake kwenye albam ulikuwa hivi
Sauti ikatoka
Adamu na Eva walikula tunda
Mateso yake bwana yesu
Nimekuweka chini
Bwana ndiye mchungaji wangu
Mimi mzabibu
Bwana Mungu asema leteni dhaka
Bwana niangaze n.k
Nimetafuta kila mahali mitandaoni sipati.Hakika zilikuwa zinanibaliki sana mwenye nayo albam hii anisaidie
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nilishasaka mno bila mafanikio,huwa nakutana nazo baadhi ambazo lakini si kwa ladha ile ni kama zilirudiwa na KKKT mabibo vijana uimbaji ni tofauti kabisaJaribu YouTube utapata baadhi ya nyimbo.
Kama utakuwa ujazipata nitakuja kuziweka hapa kwenye hii thread.
Natafuta wimbo wa kitambo hivi wa Bongo flavour kaimba mdada mistari yake ni hii
" sheila sheila uwe na huruma kwani moyo unaniuma penzi langu ni la dhati kwani nimempata wa bahati sheila uhuuuu sheila ahhhhh" "
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha nimefurahi ulivoimba mkuu.
Duuh nimejaribu kutafuta hadi nimechoka,kama unao utupie humuUpo. Nadhani kwenye hii thread upo.
Ester Wasira-SheilaDuuh nimejaribu kutafuta hadi nimechoka,kama unao utupie humu
Kala jeremiah ft ney lee-wale waleKuna wimbo wa kala jeremiah kuna mstari aliimba "ulilima mahindi vip hao ngedere" karma sikosei mweny anaujua tittle anisaidie plz
Kuna wimbo mmoja umeimbwa na "tembo " una verse inasema "inama nipachike rungu" ni wakipumbavu sana.Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
nyimbo za mzee assosaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.