Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Patricia hilary-Ni mdodoWakuu mwenye wimbo Wa "Ni mdodo" Wa kizigua...msaada
"Hakuna Mungu kama wewe" hii nyimbo nimeshindwa kuipataHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Unahakika mkuu hiyo nyimbo ipo au ulikuwa unasikia vibaya..?😂Pia kuna ngoma flani ya michael jackson
Ndani mule anatamka maneno ya kiswahili ".. namba moja.."
Mwenye kuijua jina lake
(Nb siizungumzii liberian girl ile..)
🤣🤣🤣 Nilikuwa nasikia anasema namba mojaUnahakika mkuu hiyo nyimbo ipo au ulikuwa unasikia vibaya..?😂
Najua nyimbo zake nyingi sana sijawahi sikia neno hilo aisee!🤣🤣🤣 Nilikuwa nasikia anasema namba moja
Mkuu nimeupata ila shida ni kwamba umeinganishwa na nyimbo nyingine. So unaweza kukata kipande ndani ya huo wimbo ili kuipata hiyo proposition.Kuna huu wimbo wa kundi linaitwa "Thugcity".... Unaitwa "Proposition", ni ngoma kali sana ya R&B ilitolewa miaka ya 2006. Naitafuta sana.... Youtube haipo na hakuna sehemu online nimeiona....
So kama unayo nitashukuru sana....... Natuma sample yake kuna mwana anaisikiliza kwenye gari... View attachment 1633422
Kuna huu wimbo wa kundi linaitwa "Thugcity".... Unaitwa "Proposition", ni ngoma kali sana ya R&B ilitolewa miaka ya 2006. Naitafuta sana.... Youtube haipo na hakuna sehemu online nimeiona....
So kama unayo nitashukuru sana....... Natuma sample yake kuna mwana anaisikiliza kwenye gari... View attachment 1633422
Huu mwimbo kuupata ni shughuliRonald Rubinell - Lance ceron kutoka Album ya kokofiolo multicolor vol III huu unatumika kama soundtrack Kwenye kipindi cha Je wajua RFA kwa miaka mingi sasa.