Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna kile kipindi cha 'je wajua..' cha yusuph magashi, miaka ile jumapili Radio free africa
Ile instrumental iliyokuwa inatumika mule design kama kinanda flani hivi muruwa
Naitafuta sana mwenye kuijua anijuze
 
Pia kuna ngoma flani ya michael jackson
Ndani mule anatamka maneno ya kiswahili ".. namba moja.."
Mwenye kuijua jina lake

(Nb siizungumzii liberian girl ile..)
 
Pia kuna ngoma flani ya michael jackson
Ndani mule anatamka maneno ya kiswahili ".. namba moja.."
Mwenye kuijua jina lake

(Nb siizungumzii liberian girl ile..)
Unahakika mkuu hiyo nyimbo ipo au ulikuwa unasikia vibaya..?😂
 
Kuna nyimbo inaimbwa kuwa

"Baba kaleta panyaa baba kaleta panyaa wee usiseme panya sema chamaki nchanga mwenye nyumba hii ni mamkonde akisikia utafukuzwa utarudi kwenu Ntwara"

Nisaidieni hii nyimbo huwa na mkumbuka sana Marehem Baba yangu alikuwa anaupenda mno.
 
Wakuu nisaidieni hapa,
Kwenye tangazo la kipindi cha Nirvana East Africa TV (EATV) kuna beat ya wimbo huwa inapigwa wakati tangazo la kipindi husika linaisha, anaye fahamu jina la ule wimbo naomba anisaidie.

Huo wimbo niliwahi kuwa nao zamani sanaaa... Kama niko sahihi umeimbwa na mwanamke na mwanaume... Mmoja wao anaitwa Juliana.

Video yake nakumbuka kila mmoja alikuwa anapita njia yake mwisho wakakutana ufukweni...nisaidieni wakuu.
 
Kuna huu wimbo wa kundi linaitwa "Thugcity".... Unaitwa "Proposition", ni ngoma kali sana ya R&B ilitolewa miaka ya 2006. Naitafuta sana.... Youtube haipo na hakuna sehemu online nimeiona....

So kama unayo nitashukuru sana....... Natuma sample yake kuna mwana anaisikiliza kwenye gari... View attachment 1633422
Mkuu nimeupata ila shida ni kwamba umeinganishwa na nyimbo nyingine. So unaweza kukata kipande ndani ya huo wimbo ili kuipata hiyo proposition.
 
Nautafuta '..Lance ceron_ronald rubinell..' album ya multicolour kokofiolo vol3
Asee nimetafuta nimeambulia patupu

Msaada atakayeweza kuupata
 
WAKUU MSAADA NGOMA ZA SUGU(CLEAN)
1.Mikononi mwa polisi.
2.Hayakua mapenzi.
3.Hold on.
4.deiwaka.
5.Mambo ya fedha.
6.Maisha yangu.
7.Mr 11.
KIOO
zacha
Idimi
 
Wimbo flani hivi
Unaimbwa hivi[emoji116][emoji116]
Kwako sisikii baby baby why nini kinacho kusumbua maumivu mateso yananikosesha hata
 
Inamaana hakuna anayeujua huu?

"...Nalia woo woo, nalia sana woo woo
Nataka kuwa mi milionea, uwezo sina woo woo
Nataka gari ya kutembelea, uwezo sina woo woo
Miye fukara nadharaulika hapa duniani woo woo
Sina kitanda nalala chini naumwa na kunguni woo woo..."
 
Back
Top Bottom