Kuna wimbo unaimbwa LIDEGE LINAONDOKAAA original ambayo nandy amechomoa hizo verse kwenye wimbo wake wa dance.. anaeujua anijulishe hata jina la mwimbaji
 
Jamani nitumieni ile link ya WhatsApp nataka nyimbo hizi

1 nkondo igwa- hamza kalala
2 tengula bei - mkasa wa meli
 
Msaada wakuu mwaka wa 12 huu nautafuta huu wimbo bila mafanikio... tulikuwa nao kipindi cha kaseti sasa tangu yaingie madvd na flash ndo basi tena
 
Sauti ya mziki inaendana na ile ya hama q

Ndani ya list kulikuwa pia na wimbo fulani unaimbwa hivi...

Leila njoo, baby babe Leila njoo
....., huku machozi yananitoka
Kumbuka wapi tumetoka, kumbuka wapi tumetoka

Msaada waheshimiwa, nilijiunga kwenye group la WhatsApp kwenye link iliyopo humu lakini sikufanikiwa pamoja na kudumu kwa muda mule
 
Mkuu nashukuru sana aisee, [emoji23] [emoji23] ni yenyewe kabisa yani nimeipata. Nimeitafuta for so many years.. inanikumbusha enzi za utoto nilisafiri na baba na mama kwenda Bunda niliisikia sehemu nikiwa safari I.. zamani saaaaaaanaaaa
[emoji23][emoji23] Ninayo kwenye simu iyo nyimbo mkuu
 
Aisee natafuta ngoma moja ya Snare yule alikuwaga kwenye kundi la East coast team... unaimbwa "Kwenye game jinsi inavyokuwa... kuwa na umakini mambo mengi yanatokea! Niite Snaareee mashit! Yanaendelea... haina noma kwenye game mi nasogea!..." tafadhali anaejua nitaipata vipi anisaidie tafadhali inanikumbushaga mbali sana. Zamani ndo kulikuwa na nyimbo, yaani Ukisikiliza ujumbe, mpangilio, mashairi na hata watu walivyovaa unaburudika! Ingawa tulikuwa bado sana kwenye videos. Those days was good!
 
Kuna wimbo unaimbwa LIDEGE LINAONDOKAAA original ambayo nandy amechomoa hizo verse kwenye wimbo wake wa dance.. anaeujua anijulishe hata jina la mwimbaji
Umeimbwa na bendi moja hiv ila google unapata
Nadhan ni huu indege iliobobaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…