Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna nyimbo hupati YouTube,kuna wimbo nimeutafuta sana YouTube na sehemu zingine sijaupata nikauliza humu bado sijafanikiwa
Kinachonifanya nibakie mdomo wazi,aliyeanzisha haya naye hazijjui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee natafuta ngoma moja ya Snare yule alikuwaga kwenye kundi la East coast team... unaimbwa "Kwenye game jinsi inavyokuwa... kuwa na umakini mambo mengi yanatokea! Niite Snaareee mashit! Yanaendelea... haina noma kwenye game mi nasogea!..." tafadhali anaejua nitaipata vipi anisaidie tafadhali inanikumbushaga mbali sana. Zamani ndo kulikuwa na nyimbo, yaani Ukisikiliza ujumbe, mpangilio, mashairi na hata watu walivyovaa unaburudika! Ingawa tulikuwa bado sana kwenye videos. Those days was good!

Mkajipakulie wenyewe huko youtube, Naamini ni Huu. Snare ana nyimbo chache zilizohit ikiwamo Hii na Funguo ukiachikia zile alizoshirikishwa kama Kazi,pesa na matanuzi akiwa pamoja na AY MASTER na Zile za ECT

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana mkuu!
 
Back
Top Bottom