Nami naitafuta hii taarabu;Natafuta Ile taarabu inayoimbwa kwenye royal tour,
"Haya haya shoga vipi mamboo ooh
Mbona wayatia kapuni
Wazizima Siri zako wewe eeeh
Kuzimwaga barazani
Wakati sasa ni wako ooh
Nawe uyaseme yako.
Na hili pia kaseme acha kujishaua.
Sent using Jamii Forums mobile app