Wadau kwema humu?
Naomba mwenye nyimbo hizi zilizoimbwa na Banana Zorro.
1. Niamini
2. Nieleze
Halafu kuna wimbo wa Mike Tee a.k.a Mnyalu kamshirikisha Banana Zorro unaitwa Mtumishi wako.
Natanguliza shukran zangu. Mwenye nazo hizo au mmoja wapo akiuweka hapa ani tag au ani quote.
 
Huu wa Salim Ahmed Salim nimeuona huu hapa; usikilize ni mzuri mno

 
Original tracks za chidumule album yesu ni bwana especially original form ya nyimbo hizi
Libarikiwe neno hili
Ya nini mizigo hiyo
Please mwenye access nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…