wakuu naomba kujua jina la bendi na wimbo huu . ni wimbo wa kizamani hi mashairi yake ni haya.

"Fikiri naomba unisamehe kushindwa kutoka hapa kwetu nyumbani.
"Najuta eh najuta nimekosa najuta eh najuta nisamehe .
"Fikiri anomba unisamehe naomba turudiane ahhh najuta eh najuta eh najuta nimekosa najuta eh najuta"
 
Bendi ni MLIMANI PARK ORCHESTRA na wimbo unaitwa FIKIRINI NISAMEHE.

Your browser is not able to play this audio.
 
Wakuu kuna wimbo wa KISABATO nautafuta bila mafanikio naomba aliye nao anisaidie. Sifahamu title ya wimbo ila nakumbuka mashairi machache yaliyomo kwenye wimbo huo ambayo ni baadhi ya haya yafuatayo:

Naililia sayuni, ambako hakuna magonjwa.
Mwokozi utarudi lini, utuchukue twende mbinguni.


Inawezekana nimekosea mashairi kwa namna moja au nyingine ndugu wadau lakini mashairi yake ni kama hayo niliyoweka hapo juu.

Please assist ✅
 
Kuna Wimbo Ulikua unapigwa sana alhamisi kipindi cha ukimwi radio one, baadhi ya mistari ina sema, “hapa nilipo najihisi si mzima ila sasa naogopa kwenda pima, kama nkijulikana nna ngoma mbele ya jamii si itakua noomaaa, labda ni maleria tu ,no, naogopa nitatengwa na watu sitapendwa…. “

sijajua ni dogodogo star or kina nani mwenye nao nauomba naukubali sana
 
Sumalee feat joh makini - rafiki
 
Ukiachana na nyimbo hii ya Kenny G ya forever in love kuna nyimbo nyingine inapigwa trumpet inawekagwa kwenye kipindi cha usiku cha radio nahitaji kuijua
Hiyo nadhani ni ya KENNY G pia, inaitwa SENTIMENTAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…