Natafuta Wimbo wa SHIDA uliofanyiwa cover na MELISA mwenye nao pliz naukubali sana
 
Wadau huo wimbo wa "maisha ya mjini ni ujanja ukishuka kwenye ndege wanakuita kibopa, ukishuka kwenye treni wanakuita wakuja"..jamaa anaimba kuwa kaenda kutafuta maisha mjini lakini akawa anashangazwa na tabia za mjini...nisaidien tafadharini nautafuta Sana ulichezwa Sana radio one miaka ya 2002, 2003, 2004..jamaa anaimba kwa huruma.
 
Wadau huo wimbo wa "maisha ya mjini ni ujanja ukishuka kwenye ndege wanakuita kibopa, ukishuka kwenye treni wanakuita wakuja"..jamaa anaimba kuwa kaenda kutafuta kazi mjini lakini akawa anashangazwa na tabia za mjini...nisaidien tafadharini nautafuta Sana ulichezwa Sana radio one miaka ya 2002, 2003, 2004..jamaa anaimba kwa huruma
 
Mimi natafuta wimbo wa kimondo sound kama sijakosea jina la wimbo ni nelly kama sijakosea nausikiaga redioni wimbo wa kitambo
 
Wimbo unaitwa Maisha ya Mjini ameimba mwanadada V2 ft Mzee Chuchu.
 
Natafuta wimbo wa alikom nahisi, kuna verse inasema " chonde chonde mpenzi, kxangu uko peke yako" afu sauti ya mwanamke inajibu " na husiofu uko na mie" ?
Wimbo ni wa Nuruely unaitwa Chonde Chonde

Ngoja Nikuwekee hapa, Ni Ringtone ya Mai wangu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…