Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mwenye nyimbo ya jebby msaada nadhani inaitwa roho mbaya sina hakika sana kama kaimba na mtu kamshirikisha

kuna kipande anasema wanchinja mbuzi ila bado nipo wanachinja ngombe ila bado nipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna taarabu Fulani hivi inasema penzi letu si la kuchachua chachua ......... Tugombane asubuhi jioni tunaongeaaa
 
Mimi natafuta tape maagizo kabwela na uledi au juma na uledi (dawa ya fitina ni vitina kwenu wahenga)
 
Jamani huu wimbo I was dedicated by my first boyfriend in 1994. I used to sing all of the verses. Lakini si unajua Kingereza cha kadarasa ka pili A, unaimba chochote ili mradi u rhyme, 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ENG yenyewe ya Jamaica 🇯🇲
 
Natafuta wimbo w R&b uliimbwa miaaka ya 2000 na watanzania wawili mwanamke na mwanaume ila uliimbwa kwa kiingereza na video yake walikuwa wakitembe ufukweni pia ulitumika Sana kwenye tamthilia zetu za kibongo kama mambo hayo wakina bishanga, wimbo huo ulichezwa Sana kwenye chanel ya ITV.. ambae anaufahamu naomba aniambie jina lake nime umiss Sana walikuwa wakijibiana mke na mme wakitembe ufukweni
Jaribu ku search huu kupitia YouTube uone kama ndio unaoutafuta.

Pain in Me - Emanuel Nkulila
 
Back
Top Bottom