Huu nautafuta sana darasa ft tundaman watu na walimwengu audio
 

Attachments

  • dunianawalimwenguartwork.png
    126.2 KB · Views: 19
kuna wimbo mmoja wa bongo flava miaka ya nyuma enzi za university corner...(sikumbuki waimbaji) ilikua chorus yake inaitikiwa "braza braza braza... sawa braza" kama kuna anaejua hata kidogo anikumbushe group au anaeujua anao basi auweke
 
ukiupata mkuu wimbo huu au jina la muimbaji itafaa sana
 
Wadau msaada wa hizi nyimbo
MWANA FA FT JAY MOE & UNIQUE SISTER SIENDI CLUB
JOAN FT CHEGE GETI KALI LIMENIPONZA
Q JAY FT BALO FLAVA
CHELEAMAN BINADAMU SIYO WEMA
RING2B MPENZI WANGU MIMI SIWEZI
BAD SPARK MARIDADI SANA
MR KIOKOTE CHAI MAHARAGE
BON CREW SHORI
natanguliza shukurani zangu kwenu.
 
Natafuta wimbo wa hipo ya zamani kidogo. Maneno ya Chorus yake ni
"Nimepita kote kutafuta life, Nikaona Bora niende Bongo huenda ikawa shwari"

Naomba anaye faham hata aliyeimba anipe Jina au wimbo wote.
Ancle T - Actual Bukoba ni rhumba kali kila mtu analima ndizi nani atalima futari?..... Upo mkuu nitakucheki nao
 
Ile Ngoma "DANGER "ya FID Q ni version ya Ngoma gani ya majuu....??
 
Natafuta wimbo wa hipo ya zamani kidogo. Maneno ya Chorus yake ni
"Nimepita kote kutafuta life, Nikaona Bora niende Bongo huenda ikawa shwari"

Naomba anaye faham hata aliyeimba anipe Jina au wimbo wote.
Wimbo unaitwa bongo shwari jina la msanii limenitoka
 
Wakuu kuna ngoma moja kaimba pnc kamshirikisha dulayo nyimbo ya 2008 nadhani sikumbuki title inaitwaje but kiitikio pnc alikuwa anaimba "hivi nikuulize mie nikosa gani nilikutendea wee, hivi nikuulizie mie nikosa gani nikikufanyia wee, kwanini unanizungusha, kila siku mi najiuliza kwanini waniumiza kila siku mi najiuliza. Hii ngoma nimeitafuta sana mtandaoni siipati
 
Mzee unatisha umefanya nikeshe leo nakumbuza zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…