Unaitwa ooh pesa kaimba reek faridaKuna nyimbo ya zamani naitafuta imeimbwa na mdada mmoja ndani ina mstari unaimbwa "ofisa ofisa, kila mtu anakuhitaji, katika dunia hii...." Naombeni mwenye anaijua anisaidie
Nashukuru sana mkuu. Ubarikiwe!Kazi Kwako Mkuu..!!
search tena.. "wanene wembamba by Wawili"Kuna kuna kukundi cha bongo flavor miaka ya 2000s kilikuwa kinaitwa wawil.....hawa jamaa kuna muda walikuwa na beef na mwana FA. Kisha wakapotea.
Nimetafuta sana nyimbo zao mtandaoni nimezikosa. Hata jina lao tu la wawil halipo tena popote.
Mwenye kujua hawa vijana walipo sasa na nyimbo zao zinapopatikana tafadhali anijuze.
Umetisha chiefsearch tena.. "wanene wembamba by Wawili"
Watu wa Mtili Gospel Singers wa huko Mufindi Iringa walipaswa wakusadie kwa kuwa hiyo MPENDE JIRANI YAKO Imekaa kiYesu Yesu sana, walipaswa wasikukaushie hata kidogo ili umpende jirani yako, ukimpenda jirani atakupenda pia, wala hatakulazimisha uwe wa kama yeye katika kundi lake!Kuna album moja ya gospel unaitwa MPENDE JIRANI YAKO ya choir moja inaitwa Mtili Gospel Singers ya huko Mafinga,ni ya kitambo na sijui hata kama waliiweka kwenye CD. Kama kuna mtu anayo tafadhali anisaidie
Ukisearch You tube unaupataNatafuta wimbo wa hip-hop kundi la OCG unaitwa Kazeze
Hiyo ni kibinda nkoy original,mimi mwenyewe nimeutafuta sanaWimbo wa diamond nakumbuka ya kwanza kabsa kutoa ( Achana na ile remix ambayo ni popular)
War WillKuna kuna kukundi cha bongo flavor miaka ya 2000s kilikuwa kinaitwa wawil.....hawa jamaa kuna muda walikuwa na beef na mwana FA. Kisha wakapotea.
Nimetafuta sana nyimbo zao mtandaoni nimezikosa. Hata jina lao tu la wawil halipo tena popote.
Mwenye kujua hawa vijana walipo sasa na nyimbo zao zinapopatikana tafadhali anijuze.
Utakuwa wimbo wa Marehemu Mez B unaitwa "Fikiria" kama sijakosea.Kuna wimbo unaimbwa:"kwanza fikiria, kabla hujaamua usije kujutia huo uamuzi..." jamaa ana sauti nzito kama solo thang.mwenye nao anisaidie