Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo alikua anapenda sana kuuplay Diva the bawse pale clouds i thought muimbaji ji Alicia Keys....jina na lyrics zake sina mwenye anajua kuguess anaitajie jina la wimbo

pia nautafuta wimbo wa Kendrick Lamar - Sing About Me naukosa kwenye platforms asee
 
Kuna kuna kukundi cha bongo flavor miaka ya 2000s kilikuwa kinaitwa wawil.....hawa jamaa kuna muda walikuwa na beef na mwana FA. Kisha wakapotea.

Nimetafuta sana nyimbo zao mtandaoni nimezikosa. Hata jina lao tu la wawil halipo tena popote.

Mwenye kujua hawa vijana walipo sasa na nyimbo zao zinapopatikana tafadhali anijuze.
 
Naomba mwenye wimbo wenye maneno haya. ''Nakumbuka enzi za mpakani mama, nakumbuka enzi za mpakani mama, enzi za police officers mess''... Orchestra Maquis Du Zaire
 
Kuna kuna kukundi cha bongo flavor miaka ya 2000s kilikuwa kinaitwa wawil.....hawa jamaa kuna muda walikuwa na beef na mwana FA. Kisha wakapotea.

Nimetafuta sana nyimbo zao mtandaoni nimezikosa. Hata jina lao tu la wawil halipo tena popote.

Mwenye kujua hawa vijana walipo sasa na nyimbo zao zinapopatikana tafadhali anijuze.
search tena.. "wanene wembamba by Wawili"
 
Kuna album moja ya gospel unaitwa MPENDE JIRANI YAKO ya choir moja inaitwa Mtili Gospel Singers ya huko Mafinga,ni ya kitambo na sijui hata kama waliiweka kwenye CD. Kama kuna mtu anayo tafadhali anisaidie
Watu wa Mtili Gospel Singers wa huko Mufindi Iringa walipaswa wakusadie kwa kuwa hiyo MPENDE JIRANI YAKO Imekaa kiYesu Yesu sana, walipaswa wasikukaushie hata kidogo ili umpende jirani yako, ukimpenda jirani atakupenda pia, wala hatakulazimisha uwe wa kama yeye katika kundi lake!
 
Habar wana jamii!Natafuta nyimbo inayoitwa BORA NINYAMAZE ya CHELEA MAN inayoimbwa:
"Hata nikisemaaa,
Nakulia sanaaaa,
Hamtaniona mwema,
Ni bora ninyamaze kimya,"
Aliyekuwa nayo msaada tafadhali
 
Natafuta wimbo wa hip-hop kundi la OCG unaitwa Kazeze
Ukisearch You tube unaupata
IMG-20231212-WA0019.jpg
 
Kuna wimbo unaimbwa:"kwanza fikiria, kabla hujaamua usije kujutia huo uamuzi..." jamaa ana sauti nzito kama solo thang.mwenye nao anisaidie
 
Kuna kuna kukundi cha bongo flavor miaka ya 2000s kilikuwa kinaitwa wawil.....hawa jamaa kuna muda walikuwa na beef na mwana FA. Kisha wakapotea.

Nimetafuta sana nyimbo zao mtandaoni nimezikosa. Hata jina lao tu la wawil halipo tena popote.

Mwenye kujua hawa vijana walipo sasa na nyimbo zao zinapopatikana tafadhali anijuze.
War Will
 
Kuna wimbo unaimbwa:"kwanza fikiria, kabla hujaamua usije kujutia huo uamuzi..." jamaa ana sauti nzito kama solo thang.mwenye nao anisaidie
Utakuwa wimbo wa Marehemu Mez B unaitwa "Fikiria" kama sijakosea.
 
Wimbo wa Ibranation - Wanifaa nimeutafuta bila mafanikio nafikiri ni wimbo uliomtoa kwani aliutoa akiwa bado sekondari tuu.
 
Back
Top Bottom