central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Ilikua kali kweli nyimbo kama nakulilia mwokozi,mwana mpotevu na dunia hii ni favourable kwangu,me ninayo full but niko far na home,but nenda kasech yutubu zipo kule japo hazna qualityKuna album moja ya kwaya ya KKKT nadhani kutoka Arusha inaitwa "Shangilieni"ilikuwa kali sana, itakuwa poa sana kama nitapata nyimbo zake.
Watoto wa Dar wanapojaribu kujitutumua😂😂Natafta wimbo wa songs of lawino by okota bitek na beat lake pia
mkuu nilisahau kukurudia halafu mambo yakawa mengi nikasahau mazima.kama unaikumbuka melody ya chorus yake jirekod unicheki nayo.