Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Sijaupata hadi leo, na bado nautafuta mkuuHuu wimbo uliupata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaupata hadi leo, na bado nautafuta mkuuHuu wimbo uliupata?
Ninao huu wimbo ss kuuweka hpa ndo nashindwaNaomba mwenye wimbo wa Q chillah-nimeridhika naye anisaidie.Nimeutafuta wimbo huu bila mafanikio.
Jamani naomba mwenye wimbo wa Marc Anthon you sang to me anisaidie plz.
Naomba mwenye wimbo wa Q chillah-nimeridhika naye anisaidie.Nimeutafuta wimbo huu bila mafanikio.
Nakumbuka mwaka 2011 niliudownload kupitia Waptrick lakini siku hizi siuoni kwenye hizi sites za kisasa. [emoji4][emoji4]Nautafuta wimbo mmoja wa mangwea, bamboo na jay moe, unaitwa mola nisamehe, nimeutafuta sana bila mafanikio
SASA JOMBAA TUNACHOMOKAJE HAPA, MWENYE THREAD SIJUI YUKO WAPI AULETENakumbuka mwaka 2011 niliudownload kupitia Waptrick lakini siku hizi siuoni kwenye hizi sites za kisasa. [emoji4][emoji4]
Daa noma sana. Hata me bado nautafuta.Sijaupata hadi leo, na bado nautafuta mkuu
NTOMBI sio NTOMBE,wimbo unaitwa "Marhumbini",ambao ndio umebeba jina la album yake,pia kuna SIKONE nao n mzuri sana tuuKuna wimbo nautafuta umeimbwa na msanii anaitwa NTOMBE ulipigwa sana enzi niko mdogo jina la wimbo siujui lakin moja ya mashairi yake unaimbwa hivi [emoji444]mwanangooo mwanangooo lekatula kilindiiii asyere mwanangooo[emoji445][emoji444]
Ingia juice mp3mimi ni zaidi ya msanii-yuko Geez Mabovu,fid q,Jay mo na wengine wengi,beat ya Lamar....aliyenayo anisaidie wazee
Naomba mwenye wimbo wa Mayday na Service zote za Fally Ipupa pamoja na Give me some sunshine wa Suraj Jagan & Sharman Josh.
Natanguliza shukrani!