Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Katika hizo nilizo upload hapo juu haipo?
Mkuu jamaa anaimba gere unanionea mie, nakunifanya hasidi, kwakuwa unatambua kazi yangu jukwaani, hata hivyo nyuma, sitarejea, wajifanya wajua, jua linakuwakia. Nisaidiwe huo wimbo jamani.
 
Kuna wimbo flani wazamani nilikalili kipande ...wana imba alomaiti alomaitii ina skitisha sana ooohh ...kama kiluga flani kinaendelea nisaidien jina na muimbajii
 
Wenye nyimbo hizi tafadhali anisogezee
Zumbuku- T.O.T
Nyama ya bata-T.O.T
MTU mzima hovyo- nasma khamis
Shamba- issa matona
Dege la jeshi- dudu baya

Wenye nyimbo hizi tafadhali anisogezee
Zumbuku- T.O.T
Nyama ya bata-T.O.T
MTU mzima hovyo- nasma khamis
Shamba- issa matona
Dege la jeshi- dudu baya
 

Attachments

Kuna wimbo wa Akudo Impact kwenye rap kule wanaimba "sintobadilika" na " Raha jipe mwenyewe". Mwenye kuujua tafadhali.
 
Wakuu kuna wimbo wa zamani kidogo 2005 kurudi nyuma, Juma Nature alishirikishwa, kaimba kiitikio; "maisha tunayoishi ....ni ya kimkanda mkanda, chakula bei zinapanda,... ingawa ni magumu lakini tunaishi Mungu yupo Mungu yupo..."
 
Wapendwa na mimi kuna nyimbo naitafuta ya wazungu ya zamani inahusu holiday. Watu wanatupiana makeki, mayai ila nakumbuka tu sehemu wanaimba "laa lalalalalala hey hey hey" X 2 then "I need some holi holi day, you need some holi holi holi day, she needs some holi holi day everybody needs some holi holi day"
 
Back
Top Bottom