Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo nimekua nikiutafuta kwa miaka na mikaka. Ulikua na maadhi ya kizanzibar jina “Mpende wote” mwenye kuufahamu au mwenye nao ulitoka around 2000s
 
Kuna wimbo nautafuta umeimbwa na msanii anaitwa NTOMBE ulipigwa sana enzi niko mdogo jina la wimbo siujui lakin moja ya mashairi yake unaimbwa hivi [emoji444]mwanangooo mwanangooo lekatula kilindiiii asyere mwanangooo[emoji445][emoji444]
 
Nautafuta wimbo mmoja wa mangwea, bamboo na jay moe, unaitwa mola nisamehe, nimeutafuta sana bila mafanikio
 
Nautafuta wimbo mmoja wa mangwea, bamboo na jay moe, unaitwa mola nisamehe, nimeutafuta sana bila mafanikio
Nakumbuka mwaka 2011 niliudownload kupitia Waptrick lakini siku hizi siuoni kwenye hizi sites za kisasa. [emoji4][emoji4]
 
Kuna wimbo nautafuta umeimbwa na msanii anaitwa NTOMBE ulipigwa sana enzi niko mdogo jina la wimbo siujui lakin moja ya mashairi yake unaimbwa hivi [emoji444]mwanangooo mwanangooo lekatula kilindiiii asyere mwanangooo[emoji445][emoji444]
NTOMBI sio NTOMBE,wimbo unaitwa "Marhumbini",ambao ndio umebeba jina la album yake,pia kuna SIKONE nao n mzuri sana tuu
 
Naomba mwenye wimbo wa Mayday na Service zote za Fally Ipupa pamoja na Give me some sunshine wa Suraj Jagan & Sharman Josh.
Natanguliza shukrani!
 
Hatunywi sumu hatujinyongi .....mbele kwa mbeleeee. Tumeipenda wenyewe......
 
Kuna piano inatrend sana sijui jina lake ila kuna sound ya mwanamke inasound akiimba nkishalewa
 
Back
Top Bottom