Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mapenz ya siri
Nilianguka ukaniokota
Zote za #Hussein Jumbe
Ziliwekwa kwenye post za nyuma.
Huo wa kwanza unaitwa Siri ya mapenzi na wa pili unaitwa Nachechemea. Search hapo juu
 
Mkuu Idimi, etc. Natafuta wimbo(video) wa mazishi ya baba wa taifa mwl.nyerere. Baadhi ya maneno yake ni ... KWAHERINI KWAHERINI MWENZENU NAKWENDA, NIMEWAACHIA NCHI MWENZENU NAKWENDA, MKAE KWA AMANI MWENZENU NAKWENDA ...
 
Wakubwa nakuja kwa mara nyingine tena.naomba nyimbo hizi:
Stono musica -za kichina china( baadhi ya mashairi yake ni..hata waseme vipi eeh watameza wembe..mimi na wewe sherie mate na ulimi...kucha na kidole eeh.
Na diamond sound- kibinda nkoy ile ya kwanza kabisa nadhani 1995 au 1996.
 
Igweee...
Nimekuja tena na request nyingine wadau. Ni nyimbo mbili zinapigwaga sana kwenye maharusi. Nadhano ni wakongo ama west africa. Sasa mmoja uko kama wanasema "bongwee boongwe dima" afu anasema vimaneno maneno lakini ni kama hivyo. Beat kama za kina pepe kale sijui...sijui ka ntakuwa nimeeleweka ila ntashukuru nikipata hizi nyimbo mbili huwaga zinapigwa sana kwenye sherehe....
 
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

Wimbi wa stara Thomas... Unaimbwa naomba naomba!! Ukinipa mama sitoiba! Naomba shilingi mia! Nikanunueee chama! Naomba shilingi mia nikanunie andaziii!!......
 
Wakuu,natqfuta nyimbo ya taarabu inaitwa nyuki,aliimba ISSA matona na kundi la culture taarabu ya Zanzibar,na ahmada wa fatma Binti baraka almaarufu Bi kidude,sio Ile wa kuchakachua wa kina jay dee
 
Igweee...
Nimekuja tena na request nyingine wadau. Ni nyimbo mbili zinapigwaga sana kwenye maharusi. Nadhano ni wakongo ama west africa. Sasa mmoja uko kama wanasema "bongwee boongwe dima" afu anasema vimaneno maneno lakini ni kama hivyo. Beat kama za kina pepe kale sijui...sijui ka ntakuwa nimeeleweka ila ntashukuru nikipata hizi nyimbo mbili huwaga zinapigwa sana kwenye sherehe....
Huo ulioweka kionjo umeimbwa na Mayaula Mayoni, alishawahi kuichezea timu ya Yanga. Ni wimbo maarufu sana kwenye sherehe mbalimbali. Wa pili unaoitwa Dandy, ni wa kundi la Victoria Eleyson. Enjoy
 
Attachments

Wakuu,natqfuta nyimbo ya taarabu inaitwa nyuki,aliimba ISSA matona na kundi la culture taarabu ya Zanzibar,na ahmada wa fatma Binti baraka almaarufu Bi kidude,sio Ile wa kuchakachua wa kina jay dee
Binafsi wimbo wa Ahmada ninaoufahamu Bi Kidude kashirikishwa na wale vijana wa Zanzibar Offside Trick. Sijajua kama kuna oroginal ya huo
 
Back
Top Bottom