Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna nyimbo ya zamani naitafuta imeimbwa na mdada mmoja ndani ina mstari unaimbwa "ofisa ofisa, kila mtu anakuhitaji, katika dunia hii...." Naombeni mwenye anaijua anisaidie
Kaimba Farida. Remix kamshirikisha Mkoloni wa Wagosi wa Kaya. Nimekuwekea zote hapa
 
Attachments

Wimbo wa "Watoto Wamekuja Juu" oroginal version ni ya Vijana Jazz. Baadaye mwanamuziki Komandoo Hamza Kalala aliurudia kwa Master Jay, ambapo umerekodiwa kwa ubora wa haki ya juu sana. Nimekuwekea zote mbili. Huo wa Matapeli nao nimekuwekea, quality iko vizuri sana. Enjo mwamba. Usisahau kugonga like
Nashukuru kwa hizi nyimbo hasa hiyo ya watoto wamekuja juu,hii ya ogopa tapeli ipo youtube lakini haipo vizuri hivyo kama itapatikana iliyotoka vizuri zaidi ingekuwa poa lakini pia kama unaweza kupata wimbo wa ottu jazz "kauli yake mama ya mwisho aliyoitoa kwangu" ile yenyewe.
Shukrani kwako mdau mwenzangu wa dansi.
 
Nitaitafuta mkuu
 
Back
Top Bottom