Unaitwaje huo wimbo?Kuna wimbo aliuimba Vicky Kamata kipindi JK anaanza urais 2006 hivi, anamfananisha JK na mfalme Suleiman, Kuna vitu kwenye ule wimbo nataka nithibitishe,, nimeitafuta sana sijapata!
Siufahamu jina, ila kiitikio kipo hiviUnaitwaje huo wimbo?
Shukurani sana mkuu kama utafanikiwa bora bora sound chini ya makey fanta!Baadhi hizi hapa mkuu. Enjoy
Umetisha mkuu naomba unikamilishie kwa kazi hizi mkuu bora bora sound makey fanta,pamo sound omary mkali na bambino sound banza stone.Baadhi hizi hapa mkuu. Enjoy
Hapana mkuu huu ni remix.Youngstunna huu hapa. Kibinda Nkoi, kama ndio unaousema
Mapenz ya siriNatafuta wimbo wa kisa cha mpemba uliimbwa Na twanga pepeta
Ziliwekwa kwenye post za nyuma.Mapenz ya siri
Nilianguka ukaniokota
Zote za #Hussein Jumbe
Betty MasikiniKuna wimbo una lyrics
"Siku nikifika nyumbani nitakula ugali na sombe"
Wimbi wa stara Thomas... Unaimbwa naomba naomba!! Ukinipa mama sitoiba! Naomba shilingi mia! Nikanunueee chama! Naomba shilingi mia nikanunie andaziii!!......Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Huo ulioweka kionjo umeimbwa na Mayaula Mayoni, alishawahi kuichezea timu ya Yanga. Ni wimbo maarufu sana kwenye sherehe mbalimbali. Wa pili unaoitwa Dandy, ni wa kundi la Victoria Eleyson. EnjoyIgweee...
Nimekuja tena na request nyingine wadau. Ni nyimbo mbili zinapigwaga sana kwenye maharusi. Nadhano ni wakongo ama west africa. Sasa mmoja uko kama wanasema "bongwee boongwe dima" afu anasema vimaneno maneno lakini ni kama hivyo. Beat kama za kina pepe kale sijui...sijui ka ntakuwa nimeeleweka ila ntashukuru nikipata hizi nyimbo mbili huwaga zinapigwa sana kwenye sherehe....
Wow wow....umetisha mwambaHuo ulioweka kionjo umeimbwa na Mayaula Mayoni, alishawahi kuichezea timu ya Yanga. Ni wimbo maarufu sana kwenye sherehe mbalimbali. Wa pili unaoitwa Dandy, ni wa kundi la Victoria Eleyson. Enjoy
Binafsi wimbo wa Ahmada ninaoufahamu Bi Kidude kashirikishwa na wale vijana wa Zanzibar Offside Trick. Sijajua kama kuna oroginal ya huoWakuu,natqfuta nyimbo ya taarabu inaitwa nyuki,aliimba ISSA matona na kundi la culture taarabu ya Zanzibar,na ahmada wa fatma Binti baraka almaarufu Bi kidude,sio Ile wa kuchakachua wa kina jay dee