Haya hizi hapa, pambana na hali yako!mkuu naomba hata chache
shukran mkuuHaya hizi hapa, pambana na hali yako!
Shukrani sana
Pamoja sana ndugu. Enjoyshukran mkuu
Pamoja sana kaka. EnjoyShukrani sana
Shukrani mkuuHuu hapa. Hayo maneno yapo mwishoni mwishoni mwa wimbo
Hakika mkuu wewe ni maktaba hongera sana..Pamoja sana kaka. Enjoy
Thanks ndugu. Pamoja sanaHakika mkuu wewe ni maktaba hongera sana..
Huu hapa. EnjoyMsaada ngoma ya wagosi wa kaya inaitwa weka X
Ziweke majina hizo za Hard Blasters, maana ziko kibap sana. Za GK sijaupatanamna wadau mnavyo eleza nyimbo mnazo tamani kuzipata nacheka sana
natamani pata nyimbo ya GK mama ama nyimbo za prof. j akiwa bado na kundi lake la hard blasters
mkuu Idimi pitia hapa
mkuu weka tu ulizo nazo huwa nazielewa balaaZiweke majina hizo za Hard Blasters, maana ziko kibap sana. Za GK sijaupata
Huyo ni King Kiki mtunzi na mwimbaji wa Wimbo maarufu wa KITAMBAA CHEUPE, SAFARI ya London ikiwemo na huo uliotaja baadae nitakuwekea hapa ukikosa.
Naomba wimbo wa "Tutabanana hapa hapa Dsm" - Hamza KalalaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Haya, hizi hapa.mkuu weka tu ulizo nazo huwa nazielewa balaa
kuna ule mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa, maisha nilichezea leo hii nalala na njaa
Huu hapaNaomba wimbo wa "Tutabanana hapa hapa Dsm" - Hamza Kalala
πππWaite polisi ya roho 7