Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Unaimba hivi👇

"Jama usinilaumu jama mwezio nilimpenda sana" Hiki ni kipande tu nakumbuka
Nautafuta sana huu wimbo
 

Attachments

Mwenye wimbo wa Western Jazz,"Salami nimpe nani" anisaidie jamani nimejaribu kuutafuta bila mafanikio
Hebu usikilize huu kama ni wenyewe. Then lete feedback. Ila inaonesha jina la Msanii Fundi Konde, inawezekana alikuwa ni wa bendi hiyo husika.
 

Attachments

Back
Top Bottom