Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo uliimbwa na msanii wa kike toka Uganda ndani ya wimbo huo kuna maneno kama " mvako sivuganyi nawe vigambo vyawe si vinji"
 
habar ndugu zangu!kuna nyimbo ya Haviry inaitwa TUPO SOTE youtube ipo ila haipo kwenye quality nzuri na haiishi yote km kuna mtu anayo mp3 quality msaada tafadhali
 
Kuna wimbo wa kisabato nimeusikia hii ni mara ya pili sasa nimeutafuta na siupati....

Unaimbwa

Kama ulivyokubali Toba pale msalabani
 
Kuna ule wimbo unaimbwa hivi..
🎶"Tulikutana ki mjini mjini"🎶
Halafu Kuna ule
🎶"Inama inuka eeh naangusha Moja moja Leo"🎶
Halafu Kuna ule
Unaimbwa ivi
🎶"Kama wanipenda nipe mgongo nipande unibebe mpaka kwa mama ukinifikisha ntafurahi Sanaa"🎶
Hiyo inama nibebe kaiba BOB HAISA
 
Back
Top Bottom