Natafuta wimbo wa Marijani akimpa uhuru mkewe mama Maria kuondoka baada ya kuzifikisha kuchepuka!
Sehemu yake uliimba Hivi
"Oooh Mama Maria, nakupa uhuru Nenda.
Juzi Juzi walikuja wazee na mengi mengi kinaeleza, kijana mkanye mkeo alibi nyingi imetufika nk, nk.
 
Kwa ambao mnasema hamjui kuattach nyimbo hapo fuata mtiririko huu kama nilivyo screenshot utafuata kama nilivyozungushia duara
Kwenye sehem yako ya kuandikia kama hii hapo chini kuna alama ya ipo katikati ya VINUKTA na SEND unaibonyeza itakuletea kibox kimeandijwa CHOOSE FILE utabonyeza then itakuletea sehem imeandikwa GALLERY CAMERA na FILE MANAGER ukibonyeza file manager itakupeleka kwenye storage yako ya vitu vya simu sasa hapo unatafuta nyimbo zako ziko sehem gani unauchagua automatic utajiupload then ikimaliza kuupload bonyeza SEND
 
Jina silijui lakini kuna sehemu anasema "Umeniacha kwenye usiku wa giza nene...na mvua kubwa ya mawe yenye hasira"Zilipendwa
Huo wimbo unaitwa Mama Jems, Ndhani umeimbwa na Mwenge Jazz, mtunzi akiwa ni Muhina Panduka.
 
Mi natafuta wimbo wa mtu mmoja nadhani ni mmakonde najua kiitikio anaimba.."chilambo cha veneeeee"
chilambo aveene ni nyimbo ya Makondeko muzica ya kina Tongolanga
 
Natafuta ule wimbo wa SIKINDE, unasema nimajaliwa yake mungu kuona mwaka, nipatie tafadhali.
 
Na pia ukinipa albam zote za fanueli sedekia, kasoro hii ya mwisho yenye nyimbo za kuabudu abudu nitafurahi sana pia mkuu.
 
Kuna instrumental flani hivi aisee ilikua kwebye cassette tape. Ilikuwa nzuri sana.. Sijui waliitengeneza watu gani..
 
Natafuta ule wimbo unaotumika tbc kipindi cha safari ya Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…