jay-mc
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 246
- 142
Na mm nautafuta sana huo wimbo ukiupta ni tagnatafuta wimbo wa neema ulopigwa na diamond sound band kipindi hicho cha ukumbi wa silent inn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mm nautafuta sana huo wimbo ukiupta ni tagnatafuta wimbo wa neema ulopigwa na diamond sound band kipindi hicho cha ukumbi wa silent inn
Uchona
Uchona
Natafuta wimbo uliokuwa unapigwa(instrumental yake) na diva mtangazaji wa clauds fm kwenye kipindi cha malovee kile cha usiku sjui unaitwaje na umeimbwa na Nani Msaada tafadhali
PNC FT ALIKIBA MAMY
mkuu ahsante..Nafikiri tungekua tunaweka audio ingependeza zaidi
Huo wimbo unaitwa Mama Jems, Ndhani umeimbwa na Mwenge Jazz, mtunzi akiwa ni Muhina Panduka.Jina silijui lakini kuna sehemu anasema "Umeniacha kwenye usiku wa giza nene...na mvua kubwa ya mawe yenye hasira"Zilipendwa
chilambo aveene ni nyimbo ya Makondeko muzica ya kina TongolangaMi natafuta wimbo wa mtu mmoja nadhani ni mmakonde najua kiitikio anaimba.."chilambo cha veneeeee"
anaitwa Ismailhivi ni lini ombi langu litajibiwa, hivi lini ombi langu litakubaliwa naomba kwa mola usiku kucha likija jibu lije jibu la furaha, huu wimbo umeimbwa na nani?