UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Mmh sisi wenye waingiza nyimbo tunarahaaa manyimbo yooote mliyoyaandika minnayoWimbo wa Werrason MALEWA mp3
Tutupie basi humu mkuuMmh sisi wenye waingiza nyimbo tunarahaaa manyimbo yooote mliyoyaandika minnayo
Nitafutie ndugu yangu,naona hata kwenye youtube hakunaHuo wimbo unaitwa Mama Jems, Ndhani umeimbwa na Mwenge Jazz, mtunzi akiwa ni Muhina Panduka.
Poa ntafanyia mazoezi kwanzaKwa ambao mnasema hamjui kuattach nyimbo hapo fuata mtiririko huu kama nilivyo screenshot utafuata kama nilivyozungushia duara
Kwenye sehem yako ya kuandikia kama hii hapo chini kuna alama ya ipo katikati ya VINUKTA na SEND unaibonyeza itakuletea kibox kimeandijwa CHOOSE FILE utabonyeza then itakuletea sehem imeandikwa GALLERY CAMERA View attachment 662629 View attachment 662629 View attachment 662631 View attachment 662633 na FILE MANAGER ukibonyeza file manager itakupeleka kwenye storage yako ya vitu vya simu sasa hapo unatafuta nyimbo zako ziko sehem gani unauchagua automatic utajiupload then ikimaliza kuupload bonyeza SEND
Unaitwa hayanifiki kaimba Isha mashauzi alivyokuwa jahaziKuna taarabu moja beat yake ilikuwa inatumika ka kionjo tu kwenye Chereko ya TBC 1... Mama yangu anaipenda sana ila sijawahi kuijua
Ukiupata ni tag mkuuMwaka wa Tabu ...Ally choki na Mchinga generation
Nitafutie ndugu yangu,naona hata kwenye youtube hakuna
Nitafutie ndugu yangu,naona hata kwenye youtube hakuna
You tube huu wimbo upo, mara ya mwisho nime u dowmload jana, ila imenishinda kuuweka hapa. Andika Mwenge Pole mama Jems utstokea.Nitafutie ndugu yangu,naona hata kwenye youtube hakuna
Unaitwa hayanifiki kaimba Isha mashauzi alivyokuwa jahazi
Jamhuri Jazz Band."Oooh Maria...
Bembeleza mwana
Misiti mikubwa
Tutaliwa na simba
Eeeeh Maria"
Wimbo wa zamani huu nautafuta ila aliyeimba simjui
Yeah alishatangulia jamaaHuo wimbo nautafuta nadhani unaitwa ACHA WASEME... harafu mshikaji keshatangulia